PALE kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara msimu huu wapo Mbeya City na pointi zao nane walizopata katika mechi sita.
KOCHA wa zamani wa Yanga, Mzambia Noel Mwandila ameteuliwa na Shirikisho la Soka la Zambia (FAZ) kuwa Mkufunzi wa ...
Ieleweke wazi sipingi kuondolewa kwa kocha Morocco, ila naona utanzania wake ukimhukumu zaidi kuliko kazi kubwa aliyoifanya ...
REAL Madrid imejiondoa katika harakati za kutaka kumsajili beki kisiki wa Crystal Palace, Marc Guehi, 25, ambaye mkataba wake ...
EDWARD Glazer, mmoja wa ndugu watano wenye hisa nyingi kwenye umiliki wa klabu ya Manchester United, amebainisha juu ya ...
WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), likisogeza mbele kuanza kwa mechi za msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), ...
Kocha mpya wa Kenya Police FC, Dusan Stojanovic, ametamba kufuata nyayo za mtangulizi wake, Etienne Ndayiragije, kwa ...
STRAIKA, Viktor Gyokeres amewekwa kando kwenye kikosi cha Sweden kitakachocheza mechi za kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya ...
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Athuman Masumbuko ‘Makambo Jr’ ameshtukia jambo katika kikosi hicho ikiwa ni msimu wake wa ...
NGULI wa soka, Arsene Wenger amesema Liverpool imeamua kuiharibu safu yao ya kiungo bora kabisa kwa uamuzi wao wa kumsajili ...
KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Himid Mao amesema kikosi cha timu hiyo ukiondoa ubora iliyonayo, lakini anafurahia kuona kimekomaa ...
Bingwa wa mara mbili wa mbio za marathon za Olimpiki, Eliud Kipchoge mwenye umri wa miaka 40, amejiweka miongoni mwa ...