CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimetoa wito kwa vijana wakaopata msamaha wa rais kutokana na vurugu zilizojitokeza wakati wa uchaguzi Oktoba 29, 2025 kutotumia nafasi hiyo kurudia makos ...
Watu wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa Mkoa wa Dar es Salaam wanakadiriwa kufikia 3,000,000. Takwimu hizo zimetolewa ...
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Pwani umetangaza mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi, matengenezo na ukarabati wa barabara, baada ya kutumia zaidi ya Sh ...
THE government has incurred an estimated economic loss of 352.7bn/- since widespread disruptions began on major social media platforms on May 20 this year. This staggering economic toll was confirmed ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya uwaziri mkuu haihitaji urafiki, undugu na jamaa, badala yake ni nafasi ya kulitumikia Taifa.
CAMEROON have been hit by two major injury blows, and face a possible third ahead of today’s World Cup playoff against the Democratic Republic of Congo. Veteran striker Eric Maxim Choupo-Moting ...
Siku moja baada ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kutekwa kwa Charles Werema, Mwenyekiti wa Tawi la Madale, Manispaa ya ...
Wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za maendeleo kupitia TARURA, zilizowezesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ...
Wachezaji wa Klabu ya Simba. KLABU ya Simba imetambia ushindi wake wa asilimia 100 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara mpaka sasa, ikisema ni ishara njema ya kwenda kutwaa taji hilo msimu huu, huku ikisema ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 38, akiwemo raia mmoja wa Ethiopia, Tadesa Limoli (32), kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda ...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dk. Rogers Shemwelekwa, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kata ya Picha ya Ndege, ambapo amekagua miradi nane yenye jumla ya thamani ya Shilingi ...
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) mkoa wa Pwani, Tatu Kondo, amesema watu wenye ulemavu ni miongoni mwa makundi yanayoathirika zaidi pale vurugu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results