Lamine Yamal alifunga bao maridadi huku Barcelona ikitoka nyuma mara tatu na kulazimisha sare ya 3-3 dhidi ya Club Brugge ...
Victor Osimhen amefunga hat-trick wakati Galatasaray ikiipa Ajax kipigo cha nne mfululizo kwa matokeo ya 0-3 kwenye michuano ...
Chelsea imenusurika kupokea kichapo cha kihistoria dhidi ya Qarabag kupitia bao la kusawazisha la kipindi cha pili kutoka kwa ...
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wameanza kunogewa mapema baada ya timu hiyo ...
MKEKA wa michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika kwa ngazi za klabu katika hatua ya makundi ...
MKEKA wa michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika kwa ngazi za klabu katika hatua ya makundi ...
KENYA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mashindano mawili makubwa barani Afrika ya mpira wa kikapu wanawake (WBLA) na wanaume ...
KIKOSI cha Singida Black Stars kinaondoka jijini Dar es Salaam kesho Alhamisi ili kuwahi pambano lijalo la Ligi Kuu Bara ...
KAMATI Kuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imeidhinisha kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki mashindano ya ...
WAWAKILISHI pekee wa Cecafa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake, JKT Queens wameanza safari kwenda ...
MSIMU wa 2025-2026 wa Ligi ya Championship unaendelea kushika kasi na umefikia mzunguko wa tatu kwa timu zote kushuka ...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti na anatarajia kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane hadi kumi.