"Imekuwa miaka miwili migumu sana," anasema Phil Rosenberg, rais wa Bodi ya Manaibu wa Wayahudi wa Uingereza. "Nadhani utambulisho wetu wa Kiyahudi unazidi kukumbwa na changamoto siku hizi ukizingatia ...
Kiongozi wa makumbusho ya Mauaji ya Wayahudi ya Yad Vashem huko Israel Dani Dayan anazuru Ujerumani kwa mara ya kwanza maishani mwake na kuzungumza na DW kuhusiana na ziara hiyo na vita vya chuki ...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameyatembelea makaburi ya Wayahudi baada ya makaburi 80 ya Wayahudi kuharibiwa kwa makusudi. Wanasiasa wa pande zote walaani vitendo vya chuki dhidi ya Wayahudi Rais ...
Kamishna wa kupambana na ubaguzi wa chuki za kijamii nchini Ujerumani amewataka Wayahudi kuepuka kuvaa kofia za kiyahudi katika maeneo ya umma . Felix Klein amewaonya Wayahudi waache kuvaa kofia zao ...
Charles Kushner ameitakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa leo Jumatatu, Agosti 25, baada ya kueleza "wasiwasi wake mkubwa kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi nchini Ufaransa na ...
Kila mwaka mwezi Januari, maafisa wa Ujerumani hukumbuka mauaji ya mamilioni ya Wayahudi na makundi mengine ya watu yaliyofanywa na utawala wa Wanazi. Kambi ya mateso ya wayahudi ya Auschwitz iliyoko ...