Rais wa zamani Myanmar Win Myint aliyekuwa akishikiliwa kizuizini tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika mwaka ...
Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda. Na ...
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amewasili mjini Algiers, Algeria kwa ziara ya kihistoria katika nchi hiyo ...
Serikali ya Uingereza imeomba msamaha kwa kufeli kuwaweka katika kumbukumbu wanajeshi weusi na wale wa kutoka bara Asia waliofariki wakipigania ufalme wa Uingereza. Ripoti moja ya tume ya makaburi ya ...
"Matokeo makubwa ya mkutano wa leo [kati ya Rais wa Marekani na kiongozi wa Hungary]: Marekani imeipa Hungary msamaha usio na kikomo wa vikwazo vya mafuta na gesi ya Urusi. Tunashukuru kwa uamuzi huu, ...
Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru. Wafungwa hao wali achiwa huru kufuatia msamaha wa Rais Felix Tshisekedi. Bonyeza ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, ...