Umewahi kujiuliza kwa nini bangili za shanga zenye rangi za bendera za mataifa mbalimbali zinapendwa na watu wengi ndani na ...
Kwa wengi njiwa ni kitoweo na hufugwa kwa mapenzi si biashara. Lakini Deogratius Temba, kijana kutoka Dodoma, Tanzania amebadilisha dhana hiyo. Anafuga njiwa wa kipee. Hawa ni njiwa wanaojulikana kama ...
Je, unafahamu jinsi nyumba zinavyopambwa wakati wa sikukuu ya Krismasi? Katika mji wa Alaska Krismasi ipo mwaka mzima. Binti mmoja mwenye umri wa miaka 21 anasimulia maisha ya eneo alilokulia.
Anatumia vijiti vya lambalamba kutengeneza mapambo ya ofisini na majumbani. Alichukua hatua hiyo baada ya kukosa mkopo wa chuo kikuu hivyo ilimlazimu kutengeneza bidhaa ili aweze kujikimu. Wakati huu ...